Hes. 28:19 SUV

19 lakini mtaisongeza sadaka kwa njia ya moto, sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA; ng’ombe waume wadogo wawili, na kondoo mume mmoja, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza saba; watakuwa wakamilifu kwenu;

Kusoma sura kamili Hes. 28

Mtazamo Hes. 28:19 katika mazingira