Hes. 28:26 SUV

26 Tena katika siku ya malimbuko, hapo mtakapomsongezea BWANA sadaka ya unga mpya katika sikukuu yenu ya majuma mtakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yo yote ya utumishi;

Kusoma sura kamili Hes. 28

Mtazamo Hes. 28:26 katika mazingira