Hes. 28:3 SUV

3 Nawe utawaambia, Hii ndiyo sadaka isongezwayo kwa moto mtakayomsongezea BWANA; wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu, wawili kila siku, wawe sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote.

Kusoma sura kamili Hes. 28

Mtazamo Hes. 28:3 katika mazingira