1 Tena mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi, mtakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yo yote ya utumishi; ni siku ya kupiga tarumbeta kwenu.
Kusoma sura kamili Hes. 29
Mtazamo Hes. 29:1 katika mazingira