12 Tena siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba mtakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yo yote ya utumishi, nanyi mtamfanyia BWANA sikukuu muda wa siku saba;
Kusoma sura kamili Hes. 29
Mtazamo Hes. 29:12 katika mazingira