23 Tena siku ya nne mtasongeza ng’ombe waume kumi, na kondoo waume wawili, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu kumi na wanne;
Kusoma sura kamili Hes. 29
Mtazamo Hes. 29:23 katika mazingira