Hes. 29:27 SUV

27 pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji, kwa hao ng’ombe, na kwa hao kondoo, na kwa wale wana-kondoo, kama hesabu yao ilivyo, kwa kuiandama amri;

Kusoma sura kamili Hes. 29

Mtazamo Hes. 29:27 katika mazingira