Hes. 29:36 SUV

36 lakini mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kusongezwa kwa moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng’ombe mume mmoja, na kondoo mume mmoja, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu saba;

Kusoma sura kamili Hes. 29

Mtazamo Hes. 29:36 katika mazingira