Hes. 29:7 SUV

7 Tena siku ya kumi ya huo mwezi wa saba mtakuwa na kusanyiko takatifu; nanyi mtazitesa nafsi zenu, msifanye kazi yo yote ya utumishi

Kusoma sura kamili Hes. 29

Mtazamo Hes. 29:7 katika mazingira