Hes. 3:36 SUV

36 Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na matako yake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote;

Kusoma sura kamili Hes. 3

Mtazamo Hes. 3:36 katika mazingira