Hes. 3:4 SUV

4 Kisha Nadabu na Abihu walikufa mbele za BWANA, waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA, katika bara ya Sinai, nao walikuwa hawana wana; na Eleazari na Ithamari wakafanya kazi ya ukuhani mbele ya uso wa Haruni baba yao.

Kusoma sura kamili Hes. 3

Mtazamo Hes. 3:4 katika mazingira