Hes. 3:45 SUV

45 Uwatwae Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza katika wana wa Israeli, na wanyama wa Walawi badala ya wanyama wao; na hao Walawi watakuwa wangu mimi; mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Hes. 3

Mtazamo Hes. 3:45 katika mazingira