Hes. 30:7 SUV

7 na mumewe akasikia, naye akamnyamazia siku hiyo aliyosikia neno hilo; ndipo nadhiri zake zitathibitika, na vile vifungo ambavyo ameifunga nafsi yake vitathibitika.

Kusoma sura kamili Hes. 30

Mtazamo Hes. 30:7 katika mazingira