Hes. 31:47 SUV

47 na katika hiyo nusu iliyokuwa ya wana wa Israeli, Musa akatwaa mmoja aliyetolewa katika kila hamsini, wa binadamu na wa wanyama, akawapa Walawi, waliolinda ulinzi wa maskani ya BWANA; kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Kusoma sura kamili Hes. 31

Mtazamo Hes. 31:47 katika mazingira