Hes. 31:50 SUV

50 Nasi tumeleta matoleo ya BWANA, aliyopata kila mtu, ya vyombo vya dhahabu, na mitali, na timbi, na pete za muhuri, na vipini, na vikuku, ili kuzifanyia upatanisho nafsi zetu mbele ya BWANA.

Kusoma sura kamili Hes. 31

Mtazamo Hes. 31:50 katika mazingira