Hes. 31:52 SUV

52 Na dhahabu yote ya sadaka ya kuinuliwa waliyosongeza kwa BWANA, ya maakida wa elfu elfu, na maakida wa mia mia, ilikuwa shekeli kumi na sita elfu na mia saba na hamsini.

Kusoma sura kamili Hes. 31

Mtazamo Hes. 31:52 katika mazingira