Hes. 31:6 SUV

6 Basi Musa akawapeleka, watu elfu wa kila kabila waende vitani, wao na Finehasi mwana wa Eleazari kuhani, waende vitani, na vile vyombo vya mahali patakatifu, na hizo tarumbeta za kupiga sauti za kugutusha mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Hes. 31

Mtazamo Hes. 31:6 katika mazingira