Hes. 32:23 SUV

23 Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za BWANA, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata hapana budi.

Kusoma sura kamili Hes. 32

Mtazamo Hes. 32:23 katika mazingira