Hes. 32:25 SUV

25 Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo.

Kusoma sura kamili Hes. 32

Mtazamo Hes. 32:25 katika mazingira