Hes. 32:5 SUV

5 Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani.

Kusoma sura kamili Hes. 32

Mtazamo Hes. 32:5 katika mazingira