Hes. 33:38 SUV

38 Haruni akakwea mlima wa Hori, kwa amri ya BWANA, akafa hapo, katika mwaka wa arobaini baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, mwezi wa tano, siku ya kwanza ya mwezi.

Kusoma sura kamili Hes. 33

Mtazamo Hes. 33:38 katika mazingira