Hes. 33:52 SUV

52 ndipo mtakapowafukuza wenyeji wote wa hiyo nchi mbele yenu, nanyi mtayaharibu mawe yao yote yenye kuchorwa sanamu, na kuziharibu sanamu zao zote za kusubu, kuvunja-vunja mahali pao pote palipoinuka;

Kusoma sura kamili Hes. 33

Mtazamo Hes. 33:52 katika mazingira