Hes. 33:9 SUV

9 Wakasafiri kutoka Mara, wakafikilia Elimu; huko Elimu palikuwa na chemchemi za maji kumi na mbili, na mitende sabini; nao wakapanga hapo.

Kusoma sura kamili Hes. 33

Mtazamo Hes. 33:9 katika mazingira