Hes. 34:3 SUV

3 ndipo upande wenu wa kusini utakuwa tangu bara ya Sini kupita kando ya Edomu, na mpaka wenu wa kusini utakuwa tangu mwisho wa Bahari ya Chumvi kuelekea mashariki;

Kusoma sura kamili Hes. 34

Mtazamo Hes. 34:3 katika mazingira