Hes. 34:9 SUV

9 tena mpaka utatokea hata Zifroni, na kutokea kwake kutakuwa hapo Hasarenani; huo ndio mpaka wenu wa upande wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Hes. 34

Mtazamo Hes. 34:9 katika mazingira