Hes. 35:11 SUV

11 Ndipo mtajiwekea miji iwe miji ya makimbilio kwa ajili yenu; ili kwamba mwenye kumwua mtu, pasipo kukusudia kumwua, apate kukimbilia huko.

Kusoma sura kamili Hes. 35

Mtazamo Hes. 35:11 katika mazingira