Hes. 35:14 SUV

14 Mtawapa miji mitatu ng’ambo ya pili ya Yordani, na miji mitatu mtawapa katika nchi ya Kanaani; miji hiyo itakuwa ni miji ya makimbilio.

Kusoma sura kamili Hes. 35

Mtazamo Hes. 35:14 katika mazingira