Hes. 35:21 SUV

21 au akampiga kwa mkono wake kwa kuwa ni adui, naye akafa; yeye aliyempiga lazima atauawa; yeye ni mwuaji; mwenye kutwaa kisasi cha damu atamwua mwuaji, hapo atakapokutana naye.

Kusoma sura kamili Hes. 35

Mtazamo Hes. 35:21 katika mazingira