Hes. 36:13 SUV

13 Haya ndiyo maagizo na hukumu, ambayo BWANA aliwaagiza wana wa Israeli, kwa mkono wa Musa, hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko

Kusoma sura kamili Hes. 36

Mtazamo Hes. 36:13 katika mazingira