Hes. 36:4 SUV

4 Tena itakapokuwapo hiyo yubile ya wana wa Israeli, ndipo urithi wa hiyo kabila ambayo wamekuwa ndani yake utaongezewa huo urithi wao; hivyo urithi wao utaondolewa katika urithi wa kabila ya baba zetu.

Kusoma sura kamili Hes. 36

Mtazamo Hes. 36:4 katika mazingira