Hes. 36:8 SUV

8 Na kila binti atakayemiliki urithi katika kabila yo yote katika wana wa Israeli, ataolewa katika jamaa moja ya kabila ya baba yake, ili wana wa Israeli wapate kumiliki kila mtu urithi wa baba zake.

Kusoma sura kamili Hes. 36

Mtazamo Hes. 36:8 katika mazingira