Hes. 4:14 SUV

14 nao wataweka vyombo vyake vyote juu yake ambavyo wavitumia katika madhabahu, vyetezo, na nyuma, na miiko, na mabakuli, vyombo vyote vya hiyo madhabahu; nao watatandika juu yake ngozi za pomboo, na kutia miti yake mahali pake.

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:14 katika mazingira