Hes. 4:19 SUV

19 lakini wafanyieni neno hili, ili kwamba wawe hai, wasife, hapo watakapovikaribia vile vitu vilivyo vitakatifu sana; Haruni na wanawe wataingia ndani, na kuwawekea kila mtu utumishi wake, na kila mtu mzigo wake;

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:19 katika mazingira