Hes. 4:23 SUV

23 tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini utawahesabu; wote watakaoingia kutumika, ili kufanya kazi katika hema ya kukutania.

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:23 katika mazingira