Hes. 4:25 SUV

25 wao watayachukua mapazia ya maskani, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania;

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:25 katika mazingira