Hes. 4:27 SUV

27 Utumishi wote wa wana wa Wagershoni, katika mzigo wao wote, na utumishi wao wote, utakuwa kwa amri ya Haruni na wanawe; nanyi mtawaagizia mzigo wao wote kuulinda.

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:27 katika mazingira