Hes. 4:33 SUV

33 Huu ni utumishi wa jamaa za wana wa Merari, kwa utumishi wao wote, katika hema ya kukutania, chini ya mkono wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani.

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:33 katika mazingira