Hes. 4:7 SUV

7 Tena juu ya meza ya mikate ya wonyesho watatandika nguo ya rangi ya samawi, na kuweka juu yake sahani, na miiko, na mabakuli, na vikombe vya kumiminia; na hiyo mikate ya daima itakuwa juu yake;

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:7 katika mazingira