Hes. 4:9 SUV

9 Kisha watatwaa nguo ya rangi ya samawi, na kukifunika kinara cha taa ya nuru, na taa zake, na makasi yake, na sahani zake za kutilia makaa, na vyombo vyake vyote vya mafuta, watumiavyo kwa kazi yake;

Kusoma sura kamili Hes. 4

Mtazamo Hes. 4:9 katika mazingira