Hes. 5:13 SUV

13 na mtu mume akalala naye kwa uasherati, na jambo hilo likamfichamania mumewe, likawa jambo lisilojulikana, na huyo mwanamke akawa najisi, wala hapana shahidi aliyeshuhudia juu yake, wala hakufumaniwa;

Kusoma sura kamili Hes. 5

Mtazamo Hes. 5:13 katika mazingira