Hes. 5:7 SUV

7 ndipo watakapoungama dhambi yao waliyoifanya; naye atarudisha kwa hatia yake, kwa utimilifu wake, tena ataongeza juu yake sehemu ya tano, na kumpa huyo aliyemkosa.

Kusoma sura kamili Hes. 5

Mtazamo Hes. 5:7 katika mazingira