Hes. 6:7 SUV

7 Hatajitia unajisi kwa ajili ya baba yake, wala kwa ajili ya mamaye, wala kwa nduguye mume, wala kwa umbu lake, wakifa wao; kwa sababu ya huku kujiweka kwa Mungu ni juu ya kichwa chake.

Kusoma sura kamili Hes. 6

Mtazamo Hes. 6:7 katika mazingira