Hes. 7:1 SUV

1 Ilikuwa siku hiyo Musa alipokwisha kuisimamisha maskani, na kuitia mafuta, na kuitakasa, na vyombo vyake vyote, na hiyo madhabahu na vyombo vyake vyote, na kuvitia mafuta, na kuvitakasa;

Kusoma sura kamili Hes. 7

Mtazamo Hes. 7:1 katika mazingira