Hes. 7:10 SUV

10 Kisha wale wakuu wakatoa matoleo kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu, katika siku hiyo iliyotiwa mafuta, wakuu wakayatoa matoleo yao mbele ya madhabahu.

Kusoma sura kamili Hes. 7

Mtazamo Hes. 7:10 katika mazingira