Hes. 7:59 SUV

59 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe wawili waume, na kondoo waume watano, na mbuzi waume watano, na wana-kondoo watano waume wa mwaka wa kwanza; hayo ndiyo matoleo ya Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Kusoma sura kamili Hes. 7

Mtazamo Hes. 7:59 katika mazingira