Hes. 7:65 SUV

65 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe wawili waume, na kondoo waume watano, na mbuzi waume watano, na wana-kondoo watano waume wa mwaka wa kwanza; hayo ndiyo matoleo ya Abidani mwana wa Gideoni.

Kusoma sura kamili Hes. 7

Mtazamo Hes. 7:65 katika mazingira