Hes. 8:17 SUV

17 Kwa kuwa wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli ni wangu, wa wanadamu na wa wanyama; siku hiyo niliyowapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri niliwatakasa kwa ajili yangu mwenyewe.

Kusoma sura kamili Hes. 8

Mtazamo Hes. 8:17 katika mazingira