Hes. 8:8 SUV

8 Kisha na watwae ng’ombe mume mmoja mchanga, na sadaka yake ya unga, unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, nawe utatwaa ng’ombe mume mchanga mwingine kuwa sadaka ya dhambi.

Kusoma sura kamili Hes. 8

Mtazamo Hes. 8:8 katika mazingira