Hes. 9:23 SUV

23 bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; wakayalinda malinzi ya BWANA, kwa mkono wa Musa.

Kusoma sura kamili Hes. 9

Mtazamo Hes. 9:23 katika mazingira