Kut. 1:11 SUV

11 Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.

Kusoma sura kamili Kut. 1

Mtazamo Kut. 1:11 katika mazingira